Habari za siku ya tatu jioni tarehe 17/07/2024
- Katika jimbo la Kivu ya Kaskazini, watu wawili waliuawa katika mashambulizi matatu tofauti siku ya kwanza na siku ya pili zidi ya misafara ya jeshi la Uganda na jeshi la Kongo, pamoja na nafasi ya jeshi la FARDC katika eneo la kutoka kusini mwa mji wa Butembo.
- Katika jimbo la Kivu ya Kaskazini, mzozo ilikuwa juu asubuhi yote ya siku ya tatu hii katika wilaya ya Majengo, kaskazini mwa Goma na katika kijiji cha Turunga, kusini mwa eneo jirani la Nyiragongo.
- Jimboni Kivu ya Kaskazini: waziri Mkuu makumi wa mambo ya Ndani na usalama alikomesha ziara yake ya kazi siku ya pili huko Goma.
- Huko Ituri, angalau asilimia makumi saba ya watu ambao walikuwa wamekimbia unyanyasaji wa makundi yenye silaha katika eneo la Irumu kuelekea eneo la Komanda-Luna tayari wamerejea katika vijiji vyao .
- Tarehe saba mwezi huu wa saba ni Siku ya Kimataifa ya haki ya Kimataifa zidi ya uhalifu
- Mjini Kinshasa, mauaji, ubakaji na unyang'anyi wa kutumia silaha ni aina mpya ya uhalifu unaokumba wakaaji wa mitaa inne za wilaya ya Funa. Hizi ni Bumbu, Ngiri-ngiri, Selembao na Makala.
- Kuongezeka kwa uhalifu huko Kalemie: meya wa mji anatangaza kwamba polisi wamechukua hatua fulani ili kupiganisha jambo hili.
- Usafiri kwenyi barabara kati ya mji wa Bukavu na mji mkuu wa eneo la Mwenga yanakuwa magumu kutokana na uchakavu wa kilalo la Ulindi kwenye mto Ulindi.
- Katika jimbo la Lomami, kwa kupita kwa magari makubwa juu ya kilalo cha la Luilu katika katika mtaa wa Luilu sasa kunmelizumishwa usafirishaji wa bidhaa./sites/default/files/2024-07/170724-journalswahilisoirgraceamzati-00_web.mp3