Journal Matin

Habari z'asubuhi 03 Aprili, 2025

  • Bandundu : Mbunge wa kijimbo Philipe Akamituna Ndolo amechaguliwa kuwa liwali wa jimbo la Kwilu baada ya uchaguzi wa ugavana na maseneta wa jimbo hili uliofanyika hii siku ya tatu katika jiji la Bandundu
  • Bunia : Chama cha mawakala wa forodha walioidhinishwa nchini Kongo (ACCAD) kimeshutumu Ofisi ya Udhibiti wa Kongo (OCC) huko Ituri kukusanya ushuru kinyume cha sheria katika forodha ya Mahagi tangu miaka kumi sasa
  • Beni : Huko Kivu Kaskazini, uratibu wa mashirika ya kiraia wa Beni, Butembo na Lubero unakataa wazo la uondoaji wa vikosi vya Uganda (UPDF) katika tarafa la Lubero./sites/default/files/2025-04/030425-p-s-journalswahilimatin-00-web.mp3