Journal Matin

Habari z'asubuhi 24 Januari, 2025

  • Kinshasa: Maoni ya MONUSCO kuhusu hali ya sasa ya usalama karibu na Goma
  • Kinshasa: Mwito kutoka kwa Julien Paluku kwa wakazi wa Goma na maeneo jirani
  • Goma: Uasi wa M23 huko Sake, ushuhuda wa mkazi mmoja
  • Goma: Watu wapya waliokimbia makazi yao wakiwasili katika jiji la Goma
  • Bukavu: Kuwasili Kalehe kwa watu kadhaa waliohamishwa kukimbia vita ya uasi wa M23
  • Goma: Suala la kimkakati katika kiini cha mapigano kati ya FARDC na M23 huko Sake
  • Lubumbashi: Wasilisho la wale waliodaiwa kumuua mwanahabari Patrick Adonis Numbi
  • Bandundu: Mahakama ya Rufaa ya Kwilu ilitoa uamuzi kuhusu migogoro ya uchaguzi ya Masimanimba./sites/default/files/2025-01/240125-p-s-journalswahilimatin-00-web_0.mp3