Habari z'asubuhi 22 Januari, 2025
- Kinshasa : Jeshi la Kongo linawasiliana kuhusu mapigano kati yake na uasi wa M23 unaoungwa mkono na Rwanda
- Goma : Hali ya kibinadamu huko Bweremana kutokakana na uvamizi wa M23
- Beni : Kijiji cha Mamove kinapata nafuu taratibu baada ya mfulilizo wa mashambulizi ya waasi wa ADF
- Kalemie: Ajali ya ndege huko Kongolo, hakuna tukio kubwa
- Beni: Uhaba wa mafuta ya gari, matokeo na ongezeko la bei kwa lita
- Bukavu: Uhaba wa mafuta ya gari mjini
- Kananga: Hali ya mporomoko wa udongo huko Kamayi
- Bandundu: Baraza la wakulima lasikitikia hali ya barabara za jimbo hilo./sites/default/files/2025-01/220125-p-s-journalswahilimatin-00-web.mp3