Habari z'asubuhi 15 Januari, 2025
- Goma : Shirika la Médecins Sans Frontières linazungumza kuhusu hali ya Masisi
- Goma : Maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI yaongezeka miongoni mwa wakimbizi wa vita
- Beni: Kesi ya Mpox imethibitishwa katika mtaa wa afya wa Oicha
- Kinshasa: Uwasilishaji wa vifaa vya kazi za ujasiriamali kwa wakimbizi
- Kinshasa : Uharibifu wa mvua jijini usiku wa kuamkia hii siku ya pili, watu wamefariki
- Bandundu: Ukosefu wa umeme katika wilaya fulani
- Kinshasa: Ushuhuda kuhusu mwanamichezo maarufu wa Kongo Edingwe Mapima, aliyefariki siku ya kwanza nchini Morocco./sites/default/files/2025-01/150125-p-s-journalswahilimatin-00-web.mp3