Journal matin

Habari za siku ya inne asubuhi tarehe 18/01/2024

  • Hali ya wahami kutoka Kwamouth jimboni Maindombe  Maindombe wanaoishi katika vijiji ulani katika eneo la Bagata katika jimbo la Kwilu ni mbaya sana.   
  • Katika Kivu Kaskazini,jeshi la Kongo linataka kuhusika kwa shirika la Pamoja wa Uthibitishaji, kwa ajili ya kurejesha maiti ya mwanajeshi wake aliyeuawa, na kurejeshwa kwa wanajeshi wengine wawili waliokamatwa nchini Rwanda.   
  • Huko Ituri, Muungano wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali la kutetea haki za binadamu COARDHO inashutumu wingi wa vizuizi haramu kwenye barabara ya kitaifa nambari makumbi mbili na saba na sehemu zingine kwenye barabara ya Ezekere-Kpandroma katika mtaa wa Djugu.   
  • Dola ya marekani inaendeleya Kupanda na kuathiri sekta zote za maisha ya kitaifa na inazidi kuwatia wasiwasi wanainchi. 
  • Habari njema kwa wakazi wa jimbo la Kasai Oriental kwa ujumla na hasa wale wa Mbuji Mayi.  
  • Mjini Kananga, huko Kasai Central, maji ya kunywa kuwa imekuwa taabu kwa wakazi wa mji huo kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa 
  • jimbo Kivu ya Kaskazini: Wiongozi wa gereza kuu la Munzenze huko Goma wanafurahishwa na kushuka kwa kiwango cha vifo ndani ya gereza hilo kwa miezi tatu ya mwisho wa mwaka iliyopita  na mwanzoni mwa mwaka huu tunao 
  • Habari kuhusu wizi huu wa vifaa na dawa katika hospitali kuu ya Samba katika jimbo la Maniema. /sites/default/files/2024-01/18012024-p-s-kinjournalswahilimatingraceamzati-00_web.mp3