" Kazi ya bourgmestre na makamu wake ni gani, namna gani wanachaguliwa ? "

Fichier audio : téléchargez Flash pour écouter.

” Kazi ya bourgnestre na makamu wake ni gani, na namna gani wanachaguliwa ? ”

* Karine Kakasi, bourgmestre ao kiongozi wa kominii ni mwenyi kuwa na madaraka ya utendaji katika mtaa wake yaani Komini.Katika jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo, inchini Ubeljiji na Luxembourg, neno hilo linajulishwa kwa namna ingine.Katika jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo kwa mfano, miji inagawanywa katika makomini.Na katika kazi za biurgmestre,kunapatikana ile ya kuheshimisha sheria. mippaango, dikriti na hatua zilizochukuliwa na serkali kwa daraja la komini.Hivi anatimiza kazi ya ofisa mwenyi kuusika na mabo ya rahiya. Yupo kwa kipekee mwenyi kuhusika na uchunguzi wakuheshimisha mippango yenyi kuelekea vitendo na ginsi ya kuchunga kitabo cha uongozo wa komini.Wakati asipokuwapo, bourgmestre yaani kiongozo wa komini, anaweza kupeana madaraka yake kwa makamu wake. Kufataana na anukta 199 ya sheria sifuru sita, kistari sifuru sifuru ya tarehe kenda mwezi wa tatu mwaka wa 2006 ,yenyi kuelekea matayarisho ya uchaguzi mbali mbali, ya uraisi, ya bunge la taifa, la majimbo, la miji mikubwa, komini na malokaliti, katika jamuhuri ya kidemokrasia ya kongo. bourgmestre na makamu wake wanachaguliwa kwa daftari moja ,kwa kura ya mwenyi sauti nyingi, kwa mzunguko ya pili na washauri wa komini, wenyi kuwa ndani ao nje ya baraza la ushauri, kwa mda wa miaka mitano ,ya kurudilia mara moja.

” Dunia Mukunda shurti gani huenda kutimiza wakandidenti bourgmestre na makamu wake ili wacahaguliwe ao wasiwachague ? ”

* Wakandidenti bourgmestre na makamu wake wanapashwe wanapasjhwa kuwa wakongomani.Wanapashwa kuwa na umri wa miaka yapata kumi na munane yakuenea wakati wa mwisho kwa kutia makandidenti yao na pia kuwa huru na haki zao za kiraha na zile za kisiasa. Wakandidenti bourgmmestre na makamu wake wanapshwa kuwa na hali ya wachaguzi ao kuweza kujitambulisha na kujiandikisha wakati wanatia makandidenti yaorn Kufatana na nukta 202 ya sheria kuhusu uchaguzi, wakandidenti bourgmestre na makamu wake wanajulisha ukandidenti wao kunako chumba cha Cei chenyi kupatikana karaibunao.Makandidenti yao yanapshwa kusindikizwa na kibarua kilichoandikwa na kusahiliwa na kila mmoja wao binafsi, cheti cha kuzaliwa kikiwa pia na kile chenyi kujulisha maisha ya kila mmoja, na yote yanamalizika na maoni hayo- ninaapa kwa heshima yangu kama maoni ninayo yataoa pale juu ni ya kweli na ni ya muhimu-Kandidenti ile inapashwa kusindikizwa na picha ainnre ndogo, alama ya chama cha siasa ao ya kundi la siasa Inafa kujua kama vyeti hivyo vinalazimishwa kwa maoni ya mkandidenti.
-sura ya cheti cha mchaguzirn-cheti cha kuzaliwarn kartasi yenyi kujulisha kama mkandidenti alilipa pesa zilizolazimishwa na serkali,elfu makumi mbili na mnane,franka za Kongo ya kidemokrasia, pesa ambazo zilitiwa katika sanduku ya serkalirn- barua ya acahama chake cha siasa ao ya akundilake la siasa yenyi kujulisha kamaalitumwa na chama chake ao kundi lake. la siasa.

” Kwa mwisho ,ndugu Dunia Mukunda Milemba,namna gani opersheni ya uchaguzi na kutaja nukta za uchaguzi ya bourgmestre na makamu wake huenda kufanyika ? ”

* Karine Kakasi,Inafa akujua kama uchaguzi wa bourgmestre na makamu wake unafanyika siku tatu kiisha kushimikwa madarakani kwa chumba cha ushauri wa mji mkubwa.
Uchaguzi ule unafanyika kwa kura ya siri, wanamemba mbili asili ya watatu wenyi kuwa wanamemba wa baraza la ushauri la komini wakiwa pale.Ikiwa kama idadi yao haienee,shauri la komini likiitwa kataika siku mbili yenyi kufata, shauri lile la komini linatatu kwa kweli. ingawaje ,idadi ya wanamemba wenyi pale.Inafaa pia kuelewa Karine Kakasi, kama kila mshauri wa komini anayo tuu haki kwa sauti moja kutokana na uchaguzi ule.

Texte de SAMUEL KATSHAKrnOndes CourtesrnTél. : 00243998909787rnE-mail : [email protected] [email protected]

Traduction Swahili de DUNIA MUKUNDA