" Utetezi wakati wa uchaguzi una mafa gani ? "

Fichier audio : téléchargez Flash pour écouter.

“Utetezi wakati wa uchaguzi una mafa gani ?”

* Utetezi wa uchaguzi ni kitendo kinachofanyika na kandidenti kwa watu ili wamchague.Utetezi wa uchaguzi wamakandidenti mbali mbali unaonyesha rahiya mipango ya wakandindenti ao vitendo watakavyvo vitenda mara hapo wanachaguliwa. Lengo la autetezi wa uchaguzi ni kuwasukuma rahiya wachague mwenyi kutetewa.Kufatana ana sheria o6/oo6 ya atarehe kenda mwaka wa 2006 kuhusu uchaguzi wa uraisi, wa wanabunge la taifa na la majimbo, wa miji,mitaa na lokalite,utetezi wa uchaguzi unaanzishwa saa 24 kiisha kutangazwa kwa daftarai ya wakandidenti na CEI.Na unamalizika saa 24 mbele ya kura.

* Basi , mda wa utetezi wa uchaguzi ni sawa wakati wa kura mbali mbali katika jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo_

* Kufataananasheria o6/oo6 ya tarehe kenda mwezi wa tatu mwaka huo ,sheria yenyi kuelekea matayarishao ya uchaguzi mbali mbali katika jamuhuri ya kidemokrasia ya kongo, mda wa utetezi wa uchaguzi si sawa kwa uchaguzi mbali mbali.Mda huo unabadirika kufatana na kipindi na hali ya uchaguzi.
Kwa mfano­, wanabunge la ataiafa wanao siku 30 ya kujitetea, wazee wabunge la taifa wanao siku tatu, wanabunge wamajimbo wanao siku 30, maliwali na makamu wao majimboni wanao siku 3o, washauri wa miji mikuu wanao siku tatu, wameya na makamu wao wanao siku tatu, washauri wa mitaa wanao siku 15, wabourgmestres na makamu wao wanao siku tatu, washauri wa skta na chefferie wanao siku 15, viongozi vya secteurs na makamu wao wanao siku tatu.

* Tunatamani kujua kamani nani ndiye anapashwa kutayarisha utetezi wa uchaguzi na namna gani huenda kuendeka

* Inafaa kuelewaakamamkutano wa utetezi unafanyika kufatana na mipango ya mikutanao ya watu wote. Na mikutano hiyo inatayarishwa na vyama vya siasa na wakandidenti wasio na vyama, ama wakandidenti huru.Mikutano ya utetezi wa uchaguzi inafanyika katika uhuru inchini ,lakini inafaa wenyi kutayarisha mikutano yenyewe waarifu viongozi vya serkali sa makumi mbili na inne mbele ya mikutano yaoa. Na wanapashwa kuchukua mipango ili mikutano imalizike katika usalama na heshima ya sheria.
Kwa wakati wa utetezi wa uchaguzi, kuanaruhusiwa kutia picha, matangazo kwa mahali yenyi kustahili kufatana na mipango iliyochukuliwa na Cei. Kutia matangazo mahali pa nyumba za serkali kunakatazwa.

*Kufatana na sheria kuhusu uchaguzi, ni wanani wanakatazwa ao kufukuzwa wasifanye utetezi

* Sheria kuhusu uchaguzi inakataza wataumishi wa serkali, waendesha mastaki, waaskariwaaskari polisi,wataumishi wa ujasusi kushiriki kwa utetezi lakini watumishi wa serkali waliomba watiliwe kwa mda nje ya kazi zao na wakiwa wakandidenti wanaweza kufanya utetezi wao na hiyo ni kufatana na hatua ao sheria ya kazi zao.Inakatazwa kwa watu wale kutia picha kwa ukuta ao mahali mengine, ao pia kutia matangazo ya utetezi mahali fulani.
Tujue kama kiisha utetezi wa uchaguzi inakatazwa kugawa wakati wauchaguzi , vikartasi vya utetezi ao matangazo ya utetezi.Inakatazwa piakuva nguo ya utetezi, nguo yenyi sur aya chama cha siasa ao kundi la siasa aoa yenyi alama ya viongozi vya vyama vya siasa mahali pa uchaguzi.

Texte de SAMUEL KATSHAKrnOndes CourtesrnTél. : 0998909787rnTraduction Swahili de DUNIA MUKUNDA