"Kitu gani chenyi kuhakikisha kama operesheni za uchaguzi haina manyanga ? "

Fichier audio : téléchargez Flash pour écouter.

“KITU GANI CHENYI KUHAKIKISHA KAMA OPERESHENI ZA UCHAGUZI HAINA MANYANGA ? ”

* Mbele ya kujibu kwa ulizo lako, inafaa kukumbushakama uchaguzi ni kitendo ambacho kila mwanainchi wa inchi Fulani ao wanamemba wa kundi fulaniwanajulisha maoni yao wakati wa uchaguzi ao wakatifulani wakuchukua hatua juu ya swali moja.
Uchaguzi huenda kuelewa kama vile maoni yenyi kujulishwa na watu wenyi kualikwa kwa kuchagua. Uchaguzi ni pia uchunguzi wa taifa kkwa jumla ya wakaaji wakongomani kuhusu kuchangua viongozi vyao vya kesho na pia katiba huenda kuongoza jamuhuri ya tatu.
Kwa kurudilia ulizo lako , ukweli wa mpango wa uchaaguzi unahakikishwa na komisheni ya uchaguzi huru na kuweko kwa wachunguzi wa taifa na wa kimataifa na pia washahidi ya watakaochaguliwa.,vyama vya siasa aoa makundi ya kisiasakwa operesherni ya uchaguzi.Inafaa kujulisha kama siri ya uchaguzi ilinalindwa na kushimikwa kataika kila chumba cha uchaguzi mahali mengi mtu pekee huenda kuandika jina la mtu anayemchagua- ni kusema inafaa isoloirs iwe nyingi kataika kila chumba cha uchaguzi.,na kwa upande ungine inafaa kukataza mtu mwengine asichague mahali pa mwengine yaani vote par procuration kadiri husema katika lugha la kifransa ao pian kuchagua kwa njia ya kutuma baruamhayao yote haiwezwi kukubaliwa.
Ingelifaa kukumbusha akama mataunda ya hatau ile kuhusu uchaguazi inatokana na mpango wa kugeuza kwa upande moja chumba cha uchaguzi kuwa kile cha kupekua vyeti vilivyotumbukizwa ndani ya sanduku , na kwa upande ungine kwa kila chumba cha kupekia vyeti inafaa kiisha upekuaji kutia kwa ukuta daftari ya nukta za uchaguzi , na hiyo huenda pia kufanyika katika vyimba vya muunganisho na vile vyenyim kusimamia majimboni CEI.

*Lakini ni nani anaweza kuwa na hali ya kukubaliwa sawa mshahidi ao mchunguzi?

* Huenda kuitwa mshahidi aoa mchunguzi,kila mkongomani ao mgeni mwenyi kupewa madaraka na mweny atachaguliwa yaani kandideti huru, chama cha siasa ao shirika la taiafa aoa la kimataifa linalotumwa na kujulikana na CEI ili washiriki kwa operesheni za uchaguzi.Mshahidi aoa mchunguzi yule anachaguliwa juu daftari ya watu walioandikwa kama wachaguzi.
Kutokuweko kwa washahidi aoa wachunguzi kataika mipango ya auchaguzi si shurti ya kukataa uhaki wa kura. Kwa mwisho tujulishe kama washahidi wanategemea kwa kuishi mda wa kazi yao na wale waliowatuma na kuwataja.. Laakini wachunguzi hawatemee kwa kuishi wakati ule wala serkali wala CEI. Bali usalama wao unalindwa na serkali.

Texte de SAMUEL KATSHAKrnOndes Courtes / Radio OkapirnTél. : 00243998909787rnE-mail : [email protected] [email protected] en Swahili de DUNIA MUKUNDA