Mwalikwa wetu wa leo ni mwalimu BULABULA MUNGANGA Yengas. Yeye ni Katibu Mkuu wa Taaluma na mwakilishi wa Mkuu wa Taasisi ya Migodi na Jiolojia ya Maniema, Institut facultaire des mines et géologies du Maniema. Kwa mara ya kwanza, taasisi hii imetoa wanajiolojia wa kwanza huko Maniema. Idadi yao na kumi na mmoja akiwemo msichana mmoja. Mwalimu BULABULA MUNGANGA YENGAS, anajibu maswali ya Florence KIZA LUNGA.
/sites/default/files/2024-10/221024-p-s-invitekindubulabulayengasgeologie-00-web.mp3