Tunakaribisha kama mgeni naibu msemaji wa kijeshi wa MONUSCO. Meja ALFRED MWABILI, anazungumzia masuala mengi ya sasa yanayohusiana na operesheni za kikosi cha MONUSCO sambamba na mamlaka yake ya kulinda raia, hasa katika jimbo la Ituri na lile la Kivu Kaskazini. Meja Alfred Mwabili anajibu maswali ya Chris MUKAND.
/sites/default/files/2024-03/120324-p-s-invitegomamajoralfredmwabili-00-web.mp3