Formation sur la désinformation organisée par SCPID à la MONUSCO/Bukavu du 23 au 25 janvier 2024 avec les journalistes, la société civile, les femmes et les jeunes.
Radio Okapi/Ph. Rachel Kiese.(Photo d'illustration)
Radio Okapi/Ph. Rachel Kiese.(Photo d'illustration)
Kundi la SIMAMA CONGO linahusisha waandishi wa habari wa ndani katika mapambano na kuzuia ujeuri wa uchaguzi katika jimbo la Kivu Kusini. Wakati wa mafunzo ya siku mbili iliyoandaliwa Bukavu, mpango wa elimu ya uraia wa uchaguzi wa COSIC -SIMAMA CONGO uliwaalika wanahabari kutoeneza jumbe za chuki katika kipindi hiki cha baada ya uchaguzi. MURHONZI Patient, mwezeshaji wa programu ya COSIC ndiye Mgeni wetu kwenye kipaza sauti cha Jean Kasami.