Mwalikwa wetu ni mkuu wa ofisi ya familia na jinsia ya watoto katika jiji la Beni jimboni Kivu kaskazini. Atatueleza kuhusu thamani iliyoongezwa ya kampeni ya siku kumi na sita ya kupiganisha unyanyasaji dhidi ya haki za wanawake na wasichana wadogo, kesi mahususi ya tarafa la Beni. Bi. Ruth Sabuni anajibu maswali ya Marc Maro Fimbo/sites/default/files/2022-11/29112022-p-s-inviteeruthsabunicbgenrefamilleetenfantbeni-00_web.mp3