Gereza kuu la Bunia tayari limerekodi vifo makumi mbili na tano katika muda wa miezi mitatu. Kulingana na mkurugenzi wa kituo cha hospitali ya gereza hili, kisa cha mwisho kilitokea siku ya Jumapili iliyopita ambapo mfungwa alifariki mwendo wa saa moja asubuhi. Analaumu hali mbaya ya kizuizini, haswa ukosefu wa chakula na dawa. Anaomba mshikamano ili kuokoa maisha ya watu hao wanaoteseka. Jean-Robert WATHUM anajibu kwa mahojiano ya Ezechiel MUZALIA ./sites/default/files/2022-11/251122-p-s-invitejean-robertwathumprisonbunia-00_web_.mp3