Marie Migani kutoka jimbo la Kivu ya Kusini

 

Kituo cha Usaidizi cha Ukuzaji wa Afya kiliandaa kongamano la uhamasishaji juu ya ugonjwa wa kisukari katika Ukumbi wa Concordia wa Jimbo Kuu la Bukavu mnamo tarehe kumi na ine Novemba mwaka tunao. Ilikuwa katika hafla ya Siku ya mia moja na moja ya Kisukari Duniani. Mkurugenzi wa CAPSA Marie Migani, mgeni wetu wa siku anarejea kwenye njia za ugonjwa huu usioambukiza, katika maongezi na Jean Kasami. /sites/default/files/2022-11/211122-p-s-invitemariemiganicapsasudkivu-00_web_.mp3