Benjamin Levi Tchizubu, afisa programu wa ONUSIDA mashariki nchini Congo

 

Mwalikwa wetu ni Benjamin Levi Tchizubu, afisa Programu wa ONUSIDA mashariki nchini Congo. Anatueleza kuhusu umuhimu wa mkutano wa kuunganishwa kwa suala la kupiganisha ukimwi,  katika shughuli za kibinadamu uliofanyika katika kituo cha vifaa cha Monusco huko Bunia. Hii ili kupambana kwa ufanisi zaidi dhidi ya mlolongo wa kusambaa kwa ugonjwa huu unaoendelea kuua duniani kote na DRC. Benjamin Levi Tchizubu anazungumza na Ezechiel MUZALIA./sites/default/files/2022-10/131022-p-s-inviteswahilibenjamin-00.mp3