Habari za jioni 14 Aprili, 2025
- Kinshasa : Rais wa Jamuhuri anakataza mawaziri kusimamisha kazi viongozi wa makampuni ya serikali kabla hajapewa taarifa kuhusu maamuzi hayo
- Bunia: Huko Ituri, zaidi ya walimu na viongozi mia nne wa shule ya msingi walishiriki katika awamu ya kwanza ya mtihani wa kimashindano ya kitengo kidogo cha elimu ya kitaifa na uraia mpya katika mji wa Bunia siku ya sita
- Goma : Katika jimbo la Kivu Kaskazini, waasi wa M23 wanaonekana tena katika tabaka Luberiki, tarafa la Walikale. Tahadhari hiyo inatolewa na watendaji wa jumuiya za kiraia./sites/default/files/2025-04/140425-p-s-journalswahilisoir-00-web.mp3