Journal Matin

Edition du lundi matin 17 mars 2025

1.Ujumbe wa Kongo utasafiri hadi Luanda siku ya Jumanne

2.Asasi za kiraia za Beni-Butembo na Lubero zinaitaka serikali kuweka mipaka endapo itatokea mazungumzo na uasi wa M23. 

3.Taarifa kwa vyombo vya habari kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani

Goma : MSF inatangaza mwisho wa usaidizi wake kwenye Hospitali kuu ya Virunga

5.Bandundu: Ukosefu wa vifaa vya vyoo katika eneo la watu waliohamishwa kwa Kwamouth huko Bandundu.

6.Kinshasa: ufunguzi wa kikao cha Bunge cha Machi

7.Butembo: shirika la haki za binadamu REDHO ina wasiwasi kuhusu msongamano wa watu katika gereza la Kakwangura.

8.Goma: Mfuko wa CERF watoa dola elfu 750 za Kimarekani kusaidia vita dhidi ya kipindupindu huko Kivu Kaskazini, yatangaza OCHA.

/sites/default/files/2025-03/17032025_-_journal_swahili_matin_-_00.mp3