Journal Matin

Habari z'asubuhi 03 Machi, 2025

  • Kinshasa : Wanajeshi kumi waliowasilishwa kama wapiganaji wa FDLR wakivalia sare za jeshi la Kongo huko Goma na waasi wa M23 Siku ya sita ili kurejeshwa Rwanda ni uongo. Jeshi la Kongo lilijibu haraka kwa kukataa madai haya ya M23\AFC
  • Kinshasa: Mkongomani simama, hii ni kampeni iliyozinduliwa mjini Kinshasa hii siku ya sita na serikali ya Kongo kwa kuilinda nchi dhidi ya uvamizi wa Rwanda. Uzinduzi ulifanyika na Waziri Mkuu Judith Suminwa
  • Kinshasa : Mjini Kinshasa, wakazi wa manispa Tshangu, wanaoishi karibu na uwanja wa ndege wa N'djili, wanapata matatizo makubwa kufika mjini kati kila siku kutokana na msongamano mkubwa wa magari unaoonekana./sites/default/files/2025-03/030325-p-s-journalswahilimatin-00-web.mp3