Journal Soir

Habari za jioni 24 Februari, 2025

  • Kinshasa :  Hali ya usalama na kibinadamu mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imefikia kiwango cha kutisha. Judith Suminwa, Waziri Mkuu wa Kongo alisema hayo hii siku ya kwanza katika kikao cha Baraza la Haki za Kibinadamu huko Geneva
  • Goma : Katika Jimbo la Kivu Kaskazini, timu ya Shirika la Mpango wa Chakula Duniani, PAM, na washirika wake wameanza tena usaidizi wa chakula kwa sehemu, katika baadhi ya maeneo ya jiji la Goma
  • Kinshasa : Mjini Kinshasa, trafiki barabarani inarejea katika hali ya kawaida hii Siku ya pili tarehe makumi mbili na tano Februari, kwenye barabara ambazo trafiki ya  njia moja ilikuwepo. Ni uamzi wa waziri wa mambo ya ndani wa Kongo./sites/default/files/2025-02/240225-p-s-journalswahilisoir-00-web.mp3