Journal Soir

Habari za jioni 18 Februari, 2025

  • Beni: Mapigano yalianza tena hii siku ya pili kati ya waasi wa M23 wakiungwa mkono na Rwanda na jeshi la Kongo tarafani Lubero, huko Kivu Kaskazini
  • Mbuji Mayi : Waziri wa mambo ya ndani wa Kasai Oriental anaomba vyombo vya usalama na wakazi kuwa macho katika siku hizi ambazo Kongo inavamiwa. Alisema hii siku ya kwanza wakati wa gwarida pa Mbuji Mayi
  • Bunia: Huko Ituri, Ofisi ya Udhibiti wa Kongo (OCC), kitengo cha  Mahagi, haina  scanner kwa ajili ya kukagua aina ya bidhaa zinazo bebwa ndani ya magari kwenye forodha. /sites/default/files/2025-02/180225-p-s-journalswahilisoir-00-web.mp3