Habari za jioni 24 Januari, 2025
- Kinshasa: Tangazo ya Oxfam kuhusu hali ya sasa ya usalama katika Kivu Kaskazini
- Goma: Hali ya kijamii na kiuchumi katika jiji la Goma
- Bunia: Takriban watu wanane wauawa na watu wanaoshukiwa kuwa ADF huko Ndimo na Apakola
- Bandundu: Mbunge wa Kitaifa Guy Musomo kuhusu hali ya usalama katika tarafa la Kwamouth ambapo wananchi wanakufa kwa njaa kwa sababu ya kuwepo kwa wanamgambo wa Mobondo msituni
- Lubumbashi: Dayosisi kuu ya katoliki inatangaza ujumbe "tuingie vitani" kuhusiana na ukosefu wa usalama
- Kinshasa: Reli ya mjini kuanza tena hivi karibuni, vipi kuhusu wale wanaoishi karibu na reli?
- Kinshasa: Majibu ya ONATRA kuhusu wakaazi wanaoishi karibu na reli
- Kisangani: Shule za Lowa zinafanya kazi vibaya, walimu wamesafiri mjini Kisangani ili kupata mishahara yao./sites/default/files/2025-01/240125-p-s-journalswahilisoir-00-web_0.mp3