Hali ya kutisha ya usalama katika tarafa la Beni inamtia wasiwasi mbunge wa taifa Emile Saidi Balikwisha, ambaye alizunguka tarafa la Beni kujifunza kuhusu hali ya kijamii na kiuchumi ya wakazi wa eneo hili wakati wa likizo yake ya ubunge. Katika taarifa yake ya tarehe saba Januari, 2025, iliyoelekezwa kwa Waziri wa Ulinzi, mchaguliwa wa tarafa la Beni anazungumzia juu ya upungufu wa usalama ambao unahitaji uingiliaji kati wa haraka ili kuzuia hali mbaya zaidi. Mbunge Saidi Balikwisha Emile akiongea kwa simu na Marc Maro Fimbo.
/sites/default/files/2025-01/220125-p-s-invitebenisaidibalikwwishavacances-00-web.mp3