Christine Iteku : Watu wanatudharau katika mji wa Bunia

Katika jimbo la Ituri: "kuishi na ulemavu katika jamii ni kama kuishi motoni duniani". Haya ni maneno ambayo Christine Iteku, mu albino, anahitimisha maisha yake ya kila siku ndani ya jamii. Anasema yeye ni mhanga wa dharau na ubaguzi wa kila aina. Aliyasema hayo mjini Bunia, katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Watu Wanaoishi na Ulemavu. Christine Iteku alizungumza na Sadiki Abubakar.

/sites/default/files/2024-12/121224-p-s-invitebuniachristineitekualbinos-00-web.mp3