Daktari Liliane Bwiza, kiongozi wa kituo cha utoaji damu jimboni Kivu ya Kaskazini

Mratibu wa Kituo cha Utoaji Damu jimboni Kivu ya Kaskazini, Daktari Liliane Bwiza ndiye  mwalikwa wetu wa siku za leo. Anuzungumzia suala  kwanza la  mahitaji ya damu katika  jimbo hilo ambalo linakumbwa na shida za vita mara kwa mara . Anazungumza na Bernardine Diambu./sites/default/files/2023-06/150623-goma-invite_sw_web.mp3