Journal Soir

Habari za jioni 21 Aprili, 2025

  • Kinshasa: Papa Francis alifariki hii siku ya kwanza baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kanisa Katoliki duniani liko katika maombolezo kufuatana na kifo chake.  Inchini Kongo, serikali inasalimu uungaji mkono ambao alikuwa naonyesha kuhusu ukosefu wa usalama mashariki mwake
  • Goma:  Huko Kivu Kaskazini, mbuga la wanyama la Virunga linaadhimisha miaka mia moja hii siku ya kwanza tarehe makumi mbili na moja Aprili mwaka tunao. Karne moja baada ya kuundwa kwake linakabiliwa na changamoto nyingi, hasa ukosefu wa usalama na vurugu ndani yake
  • Kalemie : Jimboni Tanganyika wakazi wanalalamika juu ya kusimamishwa kwa kazi za ujenzi wa mpango wa tarafa mia moja makumi ine na tano./sites/default/files/2025-04/210425-p-s-journalswahilisoir-00-web.mp3