Journal Soir

Habari za jioni 27 Februari, 2025

  • Bukavu : Watu wengi wamekufa na wengine kujeruhiwa kwa bomu mjini Bukavu wakati wa mkutano ulioandaliwa na waasi wa M23 hii siku ya ine tarehe makumi mbili na saba, Februari  
  • Bunia : Huko Ituri, karibu watu makumi mbili wameuawa na waasi wa ADF wakati wa  uvamizi katika vijiji kumi vya usultani Babila Bakwanza, tarafa la Mambasa tangu Siku ya pili
  • Kinshasa : Mjini Kinshasa, hofu ya uhaba wa mafuta ya gari kwenye vituo vya kuuza mafuta katika jiji haina msingi wowote. Wizara ya Uchumi wa Kitaifa ndo inawahakikishia wamiliki wa magari./sites/default/files/2025-02/270225-p-s-journalswahilisoir-00-web.mp3