Habari za jioni 25 Februari, 2025
- Kinshasa : Mwendesha mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, CPI, Karim Khan, aliwasili inchini Kongo hii Siku ya kwanza. Anathibitisha kujitolea kwa ofisi yake kuchunguza uhalifu unaoendelea mashariki mwa nchi
- Beni : Redio Okapi inaadhimisha hii siku ya pili tarehe makumi mbili na tano Februari Miaka makumi mbili na tatu ya . Kwa Mwanasheria OMAR KAVOTA, redio hiyo imejitolea katika kutumikia amani na jamii
- Bandundu : Huko Kiwlu, shirika la raia la Idiofa linaomba Kazi za kisasa kwenye barabara ya taifa nama makumi mbili katika sehemu yake inayounganisha mji wa Kikwit na mji wa Idiofa ziendelezwe/sites/default/files/2025-02/250225-p-s-journalswahilisoir-00-web.mp3