Habari za jioni 21 Februari, 2025
- Kinshasa : Inchi ya Marekani imewawekea vikwazo James Kabarebe, Waziri wa Rwanda anayeshughulikia Ushirikiano wa Kikanda, na Lawrence Kanyuka, msemaji wa kiraia wa uasi wa M23
- Goma : Shirika la Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu, CICR, linakusudia kusaidia familia za wakimbizi wa ndani ambao wameamriwa kuondoka katika kambi za wakimbizi ndani na nje ya jiji la Goma huko Kivu Kaskazini
- Kindu : Katika jimbo la Maniema, kuna kiwango cha chini cha usambazaji wa maji ya kunywa. REGIDESO pamoja na washirika wake inahudumia asilimia kumi pekee ya wakazi./sites/default/files/2025-02/210225-p-s-journalswahilisoir-00-web.mp3