Journal Soir

Habari za jioni 06 Februari, 2025

  • Bukavu : Maelfu ya wakimbizi wa ndani wamejaa katika mji mkuu wa tarafa la Kalehe jimboni Kivu Kusini. Wameongezeka baada waasi wa M23 kuthibithi Nyabibwe
  • Goma : Katika Kivu Kaskazini - Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (CICR) inaendelea kutoa msaada mkubwa kwa Shirika la Msalaba Mwekundu la Kongo kwa kuwafanyia mazishi wahanga wa vita vilivyorekodiwa kati ya waasi wa M23 na FARDC na Wazalendo mjini Goma
  • Mbuji mayi : Jimboni Kasai Oriental, Viongozi watatu wa tarafa wamesimamishwa kazi na liwali wa mkoa kwa makosa ya uongozi mbaya na uzembe./sites/default/files/2025-02/060225-p-s-journalswahilisoir-00-web.mp3