Habari za jioni 05 Februari, 2025
- Goma: Mpango wa Chakula Duniani, PAM kwa ufupi, unalaani uporaji wa toni za chakula katika maghala yake mjini Goma. Ulisema kupitia tangazo iliyotolewa kwa vyombo vya habari hii Siku ya pili jioni
- Bandundu: Mgogoro wa ardhi umezuka hivi punde kati ya mji wa Kikwit na tarafa la Bulungu katika jimbo la Kwilu. Hali ambayo inaweza kusababisha vitendo vya vurugu kati ya maeneo hayo mawili, anasema mkuu wa kitengo cha mambo ya ndani na usalama wa mkoa
- Kinshasa: Ulimwengu uliadhimisha hii siku ya pili tarehe ine Februari Siku ya kupamnbana dhidi ya cancer Duniani. Kutokana na kukosekana kwa ugunduzi wa mapema na rasilimali za kifedha, watu wengi wanakufa kutokana nayo nchini Kongo, inasema wizara ya afya./sites/default/files/2025-02/050225-p-s-journalswahilisoir-00-web.mp3