Habari za jioni 22 Januari, 2025
- Goma: Ripoti ya Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Masuala ya Kibinadamu kuhusu hali ya kibinadamu
- Goma: Hali uwanaja wa mapigano kati ya jeshi la Kongo na waasi wa M23 pa Minova na Sake
- Goma: Umuhimu wa bandari ya Kasunyu, Kivu Kusini
- Kinshasa: Mkutano kati ya Waziri Mkuu, FEC na muungano wa wafanyakazi juu ya kiasi cha chini cha mshahara inchini Kongo
- Lubumbashi: Uhaba wa mafuta ya gari umeonekana katika vituo vya huduma
- Mbuji mayi: Ongezeko la bei ya lita moja ya petroli huko Tshumbe, Lodja
- Kananga: Mkataba wa amani uliotiwa saini na jumuiya mbili
- Bukavu: Raia kumi wa Uchina waachiliwa huru na mahakama kwa kutokuwa na hatia
- Kinshasa: Ukosefu wa usalama katika Kata CPA/MUSHI, wakazi wanazungumizia wasiwasi wao./sites/default/files/2025-01/220125-p-s-journalswahilisoir-00-web.mp3