Journal Soir

Habari za jioni 20 Januari, 2025

  •  Kinshasa: Matatizo ya usafiri asubuhi ya leo siku ya kwanza mjini Kinshasa
  • Bunia: Madhara ya kuporomoka kwa daraja linalounganisha Aru na Dungu
  • Kinshasa: Rais anashiriki katika Kongamano la Kiuchumi la Davos inchini Uswizi
  • Goma: Amnesty International inalaani matumizi ya mabomu katika vita kati ya jeshi la Kongo na uasi wa M23 jimboni Kivu Kaskazini
  • Goma: Hali ya mapigano kati ya jeshio la Kongo na M23 pa Masisi-kati
  • Bukavu: Kalehe, kuwasili kwa watu wapya wanaokimbiya vita kati ya jeshi la Kongo na M23  kutoka Ngungu, jimboni Kivu Kaskazini
  • Beni: Kufuatilia hali ya uwanja wa mapigano kati ya jeshi la Kongo na M23 kusini mwa tarafa la Lubero, Kivu Kaskazini
  • Mbuji mayi: Sehemu moja ya hospitali kuu ya Lodja iliteketea kwa moto.
  • Matadi: Kuzuiliwa vibaya kwa wafungwa katika gereza la Boma./sites/default/files/2025-01/200125-p-s-journalswahilisoir-00-web.mp3