Journal Soir

Habari za jioni 13 Januari, 2025

  • Kinshasa: Madereva wa teksi na mabasi wagoma
  • Kinshasa: Patrick Muyaya kuhusu kuboresha uwezo wa ununuzi wa watu wa Kongo
  • Mbuji-Mayi: Mwelekeo wa daraja la Futshumo katika jiji la Lodja
  • Goma: Hali ya kibinadamu huko Pinga
  • Goma: Kufuatilia hali kwenye uwanja wa mapigano kati ya jeshi la Kongo na waasi wa M23
  • Beni: FARDC inafuatilia ADF katika eneo la Mayangose
  • Bunia: Watu mashuhuri wa Bira wanahamasisha FPIC kuweka silaha zao chini
  • Matadi: Vita dhidi ya kuzama majini katika beach ya Muanda, waziri wa utalii wa kitaifa ambaye alitembelea hapo, alichukua maamuzi kadhaa./sites/default/files/2025-01/130125-p-s-journalswahilisoir-00-web.mp3