Journal Matin

Habari z'asubuhi 29 Aprili,  2025

  • Kinshasa : Zaidi ya watu makumi mbili wamekufa kwa kipindu pindu inchini Kongo kwa wiki iliyopita. Wizara ya afya ilitangaza hayo Siku ya tano iliyopita wakati wa baraza la mawaziri, ikiongeza kwamba ni kati ya Wagonjwa zaidi ya elfu moja waliorekodiwa
  • Goma : Huko Kivu Kaskazini, uasi wa M23 unazidisha kampeni yake ya kuajiri vijana kwa kile inachokiita Jeshi la Mapinduzi la Kongo
  • Bandundu : Shirika la Umeme nchini, SNEL kitengo cha  Bandundu kubwa, linaomba serikali ya mkoa wa Kwilu kulinda kituo chake cha umeme cha Tobakita ambacho vifaa vyake viliharibiwa na wanamgambo wa Mobondo./sites/default/files/2025-04/290425-p-s-jounalswahilimatin-00-web.mp3