Journal Matin

Habari z'asubuhi 28 Februari, 2025

  • Kinshasa : Mkuu wa operesheni za kulinda amani za Umoja wa Mataifa, Jean-Pierre Lacroix, aliwasili mjini Kinshasa jana siku ya ine ambako alikutana na wajumbe wa serikali ya Kongo kuhusu hali ya usalama mashariki mwa inchi
  • Goma : Huko Kivu Kaskazini, ni mwezi Mwezi mmoja sasa tangu mji wa Goma ukaliwe na waasi wa M23/AFC wakiungwa mkono na jeshi la Rwanda
  • Bunia : Huko Ituri, karibu watu makumi mbili wameuawa na waasi wa ADF wakati wa  uvamizi katika vijiji kumi vya usultani Babila Bakwanza, tarafa la Mambasa tangu Siku ya pili./sites/default/files/2025-02/280225-p-s-journalswahilimatin-00-web.mp3