Habari z'asubuhi 19 Februari, 2025
- Kinshasa : Rais wa Kenya William Ruto alikutana jana siku ya pili na wawakilishi wa makanisa ya Kikatoliki na Kiprotestanti katika mfumo wa kutafuta amani inchini Kongo huko Nairobi
- Mbuji Mayi : Waziri wa mambo ya ndani wa Kasai Oriental anaomba vyombo vya usalama kuwa macho katika siku hizi ambazo Kongo inavamiwa. Alisema siku ya kwanza wakati wa gwarida huko Mbuji Mayi
- Bunia: Huko Ituri, Ofisi ya Udhibiti wa Kongo (OCC), kitengo cha Mahagi, haina scanner kwa ajili ya kukagua aina ya bidhaa zinazo bebwa ndani ya magari kwenye forodha. /sites/default/files/2025-02/190225-p-s-journalswahilimatin-00-web.mp3