Habari z'asubuhi 21 Januari, 2025
- Goma: Bruno Lemarquis ana wasiwasi kuhusu hali ya kibinadamu jimboni Kivu Kaskazini
- Bukavu: Kalehe, kuwasili kwa watu wapya wanaokimbiya vita kati ya jeshi la Kongo na M23 kutoka Ngungu, jimboni Kivu Kaskazini
- Bukavu: Ujumbe wa ukaguzi wa Jenerali Pacifique Masunzu, kamanda wa kanda ya tatu ya ulinzi inchini Kongo
- Kinshasa: Matatizo ya usafiri asubuhi ya jana siku ya kwanza mjini Kinshasa
- Bunia: Madhara ya kuporomoka kwa daraja linalounganisha Aru na Dungu
- Kinshasa: Mahakama ya Katiba yatoa uamuzi kuhusu uchaguzi wa Yakoma na Masimanimba
- Mbuji mayi: Sehemu moja ya hospitali kuu ya Lodja iliteketea kwa moto.
- Matadi: Kuzuiliwa vibaya kwa wafungwa katika gereza la Boma./sites/default/files/2025-01/210125-p-s-journalswahilimatin-00-web.mp3