Habari z'asubuhi 14 Januari, 2025
- Matadi: Mauaji mara tatu yalifanyika hii siku ya kwanza huko Kinzauvuete
- Lubumbashi: Miili mitano isiyo na uhai ilipatikana jijini Lubumbashi hii siku ya kwanza
- Kinshasa: Madereva wa teksi na mabasi wagoma
- Kinshasa: Patrick Muyaya kuhusu kuboresha uwezo wa ununuzi wa watu wa Kongo
- Mbuji-Mayi: Mwelekeo wa daraja la Futshumo katika jiji la Lodja
- Goma: Hali ya kibinadamu huko Pinga
- Bunia: Watu mashuhuri wa Bira wanahamasisha FPIC kuweka silaha zao chini
- Matadi: Vita dhidi ya kuzama majini katika beach ya Muanda, waziri wa utalii wa kitaifa ambaye alitembelea hapo, alichukua maamuzi kadhaa./sites/default/files/2025-01/140125-p-s-journalswahilimatin-00-web.mp3