Journal Matin

Edition du lundi 30 septembre 2024

 

  • Bukavu: Timu la kiutu la umoja wa mataifa inchini Congo linaunga mkono jimbo la Kivu Kusini, kwa kukabiliana na janga la Mpox.
  • Lubumbashi: Profesa Michel Ekpalanga ana omba vipimo vya Mpox vipatikane majimboni kote
  • Kinshasa: Ugumu wa uzazi katika maeneo yenye migogoro nchini DRC
  • Bunia: Ukosefu wa usalama huathiri uzalishaji wa chakula katika eneo la Bule
  • Kisangani: Hali mbaya ya barabara ya taifa nambari 4 ina tatiza wakaaji  
  • Kalemie: Shule NEEMA ilihamishwa kutokana na mafuriko ya ziwa Tanganyika
  • Bunia: Siku duniani ya Uhuru wa Kupata Habari; karibu waandishi wa habari thelathini wanajitolea kuheshimu kanuni za maadili na mwenendo wa kitaaluma wa uandishi wa habari wa Kongo
  • Bandundu: Hali katika Bunge la Jimbo la Kwilu

/sites/default/files/2024-09/30092024_-_p_-_jp_sw_-_matin_-_00.mp3