Siasa kuhusu mishahara ya watumishi wa serkali katika jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo, mafaa ya uchunguzi wa kazi na kurudi inchini kwa mpizani Jean-Pierre Bemba- hayo ndio maoni yaliyochaguliwa huru na waalikwa wa leo mangaribi.

Fichier audio : téléchargez Flash pour écouter.

Waalikwa :rn-Alain MBAYA KAKASU mwanamemba wa chama cha siasa ADECO na ni msimamizi wa upinzani.
-Raphael MUNGOMBA inspekta wa kazi na ni msimamizi wa kundi lenyi kuwa madarakani ;rn-Symphorien DUNIA presidenti wa shirika la kutetea watumishi wa serkali, yaani CSC na ni msimamizi wa shirika la rahiya.