Fichier audio : téléchargez Flash pour écouter.
Mjumbe wa upinzani,yule wa kundi lenyi kuwa madarakanirnpamoja na yule wa shirika la rahiya, wanawaza kama kusudirn mpango wa kugawa uongozi inafaa majimbo yachukua tangu kwaornpesa makumi inne asili mia moja.
Waalikwa ni hao.
Martin Mukonkole, mwamemba wa RCD-N na ni msimamizi wa upinzani.
Wildor Makonero ,mwanamemba wa PPRD, ni msimamizi wa wenyi kuwa madarakani.
Naupes Kibishwa, mtetea wafanya kazi, ni mwanamemba washirika la rahiya.