Estimée LEKOPOLE : Hakuna msaada ya wakimbizi ndani ya mji wa Beni

Mgeni wetu ni Estimee LEKOPOLE, mkuu wa ofisi ya vitendo vya kibinadamu na mshikamano wa kitaifa katika sehemu ya kaskazini ya jimbo la Kivu Kaskazini. Kwa siku kadhaa sasa, ofisi yake imekuwa ikiwasaidia na kutoa mafunzo kwa zaidi ya watu elfu tatu waliokimbia makazi yao katika mji wa Beni katika biashara tofauti, hususan kutengeneza sabuni, kilimo na hivi karibuni useremala. Kulingana naye, hii ndiyo njia bora ya kuwaunganisha katika jamii na kuwasaidia kuepuka kuombaomba. Estimee LEKOPOLE anazungumza na André KITENGE.

/sites/default/files/2024-11/281124-p-s-invitebeniestimeelekopole-00-web.mp3