Mwalikwa wetu anaitwa Merry Bin Kabojo. Ni yeye ndiye anayeratibu tamasha h ambalo linajumuisha kuwatumbukiza watazamaji katika vicheko kwa lengo kuu la kuwavutia wageni wengi zaidi kuja kuona kuwa jiji la Bukavu nalo linaishi licha ya picha mbaya ya mji unaokufa, picha ambayo imeundwa kutoka nje. Yuko kwenye mahojiano na Jean Kasami.
/sites/default/files/2024-10/171024-p-s-invitebukavumerrybinkabojofestivalrire-00-web.mp3