Alimasi Malumbi Mathieu,Waziri wa Uchukuzi wa mkoa wa Kivu ya Kusini

Waziri wa Uchukuzi wa jimbo la  wa Kivu ya Kusini, Alimasi Malumbi Mathieu, akizungumzia operesheni ya utambuzi na namba za magari yanayotoa usafiri wa mijini kwa teksi na basi za teksi. Waziri pia anazungumzia kuanza tarehe moja Novemba iliyopita operesheni kwa uchunguzi wa magari ambayo yanaendelea kuzunguka barbarani bila namba. Alimasi Malumbi Mathieu kwenye kipaza sauti cha Jean Kasami /sites/default/files/2022-11/071122-p-s-invitealimasimalumbimathieusudkivu-00_web.mp3